Picha nyingine za mazishi ya msanii Geez Mabovu zipo hapa mdau wa Djjonamusic Blog
13,November 2014 yamefanyika mazishi ya msanii Geez Mabovu ambaye alikuwa maarufu kwenye muziki wa Hiphop Tanzania huko nyumbani kwao Iringa katika makaburi ya Mlolo. Geez Mabovu alifariki dunia kwenye hospitali alikokua amelazwa nyumbani kwao Iringa alipokwenda wiki 2 zilizopita akitokea Dar es salaam. Geez alikuwa anaumwa kifua.
No comments:
Post a Comment