Mwaka 2010 kuna mtu alivunja gari la Usher huko ATL nakuiba laptop mbili, video camera mbili na mali nyingine zilizokuwemo
Baada ya miaka michache kupita sasa mkanda huo ulimshirikisha Usher na mkewe Tameka uliokuwa kwenye moja ya laptop umeanza kuuzwa kwa siri
Mkanda huo ambao wengi wa watu wanaonunua mikanda ya ngono huko America wanauogopa hata kuugusa kufuatia utata wa mwanasheria wa Usher umekuwa ukiuzwa kwa njia ya mtandao
No comments:
Post a Comment