Monday, November 10, 2014

Nicki Minaj Awa Gumzo La MTV

Mwanamuziki Nicki Minaj Afunika Na Vivzai Vyake Alivyovivaa Katika Hafla Ya MTV-EMAs 





Ambapo Kila Nguo AliyoivaaIlikuwa Ikiwashangaza Mashabiki Waliohudhuria Katika Hafla Hiyo Na Kuonyesha   Muonekano Wake.
  Alitoa Ahadi Kwa Mashabiki Wake Kwakuwa Anawapenda Basi Lazima Awe Tofauti Na Kweli Ahadi Alitimiza Ikiwemo Kuimba Wimbo Wake Mpya Kitu Ambacho Kiliwafurahisha Zaidi Mashabiki Wake.

 Angalia Picha Za Nicki Katika Mavazi Tofauti.


No comments: