Monday, November 10, 2014

Licha Ya Kuwa Na Ujauzito Alicia Keys Afanya Balaa kwenye MTV-EMA

 Alicia Keys Mwenye  Miaka (33) Mama Wa Mtoto Mmoja  Kwa Sasa Ana Ujauzito Wa Miezi 7 Alifanya Balaa La Kuimba Kwa Sauti Ya Juu Isivyo Kawaida Katika Hafla Ya MTV-EMA Alicia Alistaajabisha Mashabiki Kwa Uwezo Wake Wa Kumiliki Jukwaa Kwa Kuimba Na Kucheza .





No comments: