Monday, November 10, 2014

This soon: kupitia Ebony fm Utamsikia Dj nas akizungumzia kifo cha Zamoyoni ngede aliyekua mtangazaji wa Coutry fm Iringa

alikua mtangazaji wa kituo cha radio cha Country fm mkoani iringa vilevile alikua ni mdau mkubwa wa muziki wa bongo fleva ususani muziki wa nyanda za juu kusini, Ikiwa leo ni tarehe na mwezi ambao ndo jamaa alitutoka dunia katika hospitali ya manispaa ya iringa kwa kuumwa kwa muda mrefu ugonjwa wa maralia, Mwili wake ulipumzishwa katika makaburi yaliyopo mlolo magereza mkoani iringa R.P.P ZAMOYONI NGEDE

                                   picha juu kulia zamoyoni enzi za uhai wake


                              picha juu jinsi ilivyokua katika mzishi ya zange

No comments: