Friday, November 7, 2014

Picha:Mandai Intertainment kuwatafuta wasanii 5 kesho 8/11 kwaajili ya kuwaweka rebo

Studio kubwa iliyopo Ukonga Mombasa mongolandege Dar imeanza kwa kufanya usaili wa wasanii wachanga watakao kaa katika rebo ya studio kwa upande wa wasanii wanaoimba hata hivyo msemaji wa Mandai Intertainment ameuambia mtandao wa Djjonamusic kuwa wanahitaji wasanii watano 5 ambapo leo wasiriki waliojitokeza wamepata namba za ushiriki wa michuano hiyo amesema wanamshukuru mungu washiriki wamejitokeza wengi tofauti na walivyo tizamia ameiambia .

                                    Picha juu ni studio upande wa Video production
                                                    Picha juu ni studio upande wa Audio

djjonamusic blog kuwa fainali ya michuano hiyo itakua kesho ambayo ni tarehe 8/11/2014 katika studio za mandai zilizopo ukonga mongolandege pia wamemshukuru Monarisa kwa kuonesha support ya kufika kwake katika studio za mandai intertainment

                             Picha juu muonekano wa Studio za Mandai Intertainment
Picha juu baadhi ya wasanii wakiwa wamejipumzisha baada ya kupata namba za ushiriki
                   Picha juu ni Crew ya Mandai Intertainment ikiwa bado haijatimia ni baadhi yao

No comments: