Monday, November 24, 2014

Tattoo Ya Ngwea Na Geez Mabovu Kwenye Kifua Cha Dark Master

Rapper wakundi la Chemba Squad Dark Master ametengeneza kumbukumbu nyingine kwenye maisha yake kwa kujichora tattoo yenye majina ya marehemu Ngwea na Geez Mabovu.

Akiwa ni member wa kundi alilokuwa Ngwea na mtu wa karibu wa Geez Mabovu Dark Master anasema hii misiba miwili ni pigo kubwa kwenye maisha yake.


No comments: