Ni moja kati ya zile movie za dunia ambazo watu huwa wanaweka akili nyingi na kuwekeza pakubwa ili kumfurahisha mtazamaji… taarifa ikufikie kwamba movie mpya ya Fast & Furious 7 itaachiwa rasmi April 10 2015 huku ndani yake akionekana pia marehemu Paul Walker ambae alifariki kwa ajali ya gari November 30 2013.
Thursday, November 20, 2014
Wametumia hizi dakika 2 kutuonjesha movie mpya ya Fast & Furious 7 itakavyokuwa.
Kama mfululizo wa movie za Fast & Furious uko kwenye kumbukumbu zako basi baada ya kuitazama na hii unaweza kukufanya ukatamani kama ungekua na uwezo wa kuisogeza April 2015 iwe kesho.

Ni moja kati ya zile movie za dunia ambazo watu huwa wanaweka akili nyingi na kuwekeza pakubwa ili kumfurahisha mtazamaji… taarifa ikufikie kwamba movie mpya ya Fast & Furious 7 itaachiwa rasmi April 10 2015 huku ndani yake akionekana pia marehemu Paul Walker ambae alifariki kwa ajali ya gari November 30 2013.

Ni moja kati ya zile movie za dunia ambazo watu huwa wanaweka akili nyingi na kuwekeza pakubwa ili kumfurahisha mtazamaji… taarifa ikufikie kwamba movie mpya ya Fast & Furious 7 itaachiwa rasmi April 10 2015 huku ndani yake akionekana pia marehemu Paul Walker ambae alifariki kwa ajali ya gari November 30 2013.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment