Thursday, November 20, 2014

Navio ametaja jina la Rapper huyu wa Tanzania ambaye anatamani kufanya naye collabo…

Rapper kutoka Uganda (256) Navio mwenye hit single ya ‘On It On’ akizungumza kupitia kipindi cha Power Jams kupitia East Africa Radio Novemba 18 ametaja jina la msanii ambaye angependa kufanya naye collabo katika kazi zake kutoka Tanzania.
.
Rapper huyo alipendekeza jina la msanii kutokea Mbeya City Emmanuel Simwinga aka Izzo Bizness

Izzo Bizness Baada ya kupokea ujumbe huo wa kufanya collabo na Navio kupitia twitter na instagram aliandika; “Naskiliza Interview ya NAVIO a ameulizwa msanii gani wa Tz angependa kufanya nae Collabo kasema Izzo Bizness…Humbled
Hii kubwa sana kwangu big up kwa #NAVIO #HAINAKUFELI”– Izzo Bizness
.
.
.
.

No comments: