Thursday, November 20, 2014

Ntampata Wapi Ya Diamond Platnumz Itakuwa Kwenye Radio Na Tv Yako Leo.

Kuelekea mwisho wa mwaka 2014 November 20 2014 msanii Diamond Platnumz anatoa wimbo mpya ambao nikama zawadi kwa mashabiki wake kwa mchango wao kwenye muziki wake mwaka huu.

Video yake ya wimbo huu 'Nitampata Wapi' imeshachezwa Mtv Base na sasa itaanza kuchezwa kwenye vituo vya nyumbani soon.


 

No comments: