Msanii tokea Iringa ingawa kwa sasa makazi yake yapo hapa Dar, Kitambo sana kwenye tasnia ya muziki vilevile ni mdau mkubwa wa Bongo Fleva kwasababu yeye pia ni mtangazaji wa Redio ingawa kwa sasa sijajua yupo redio gani na kabla ya hapo alipo jamaa alikua anatangaza kituo cha redio mkoani iringa kinajulikana kwa jina la Country fm
DOWNLOAD HAPO CHINI
No comments:
Post a Comment