Mwezi December ni mwez ambao Clouds Fm inasherehekea siku yake ya kuanzishwa(kuzaliwa) ambapo leo vipindi mbalimbali vya Clouds Fm vimekuwa na ugeni tofauti tofauti.
Power Breakfast imebariki ugeni wote wa leo kwa interview na MD Joseph Kusaga kuelezea changamoto mbalimbali walizokutana nazo kwenye hii miaka 15 ya Clouds Fm na mafanikio yao.
Wengine ni waliokuwa watangazaji wa kipindi hiko cha Power Breakfast Masoud Kipanya na Fina Mango ambapo leo walikua live kwenye Power Breakfast,kipindi cha Leo Tena kimepata ugeni wa Khadija Kopa,Diamond Sound na Tx Junior.
No comments:
Post a Comment