Tuesday, December 2, 2014

Clouds Media wazindua Logo yao mpya Baada ya kutimiza miaka 15

Ni miaka kumi na tano tokea yalipoanza matangazo ya the Super Brand Redio Clouds fm na kwa kuendeleza burudani wameamua kutoa Logo mpya ya Clouds media.

No comments: