Toka ametengana na mke wake Rapper Wiz Khalifa amekuwa akifanya mambo ya
ajabu kwenye mitandao kama kubadilisha rangi ya nywele zake na sasa
amepiga picha akiwa mtupu. Wenyewe wanasema ni kuBreak The Internat kama
alivyofanya Kim Kardashian kwenye jarida la Paper.

Credit:Sammissago.com
No comments:
Post a Comment