Tuesday, June 30, 2015

Diamond Platnumz Atua Nigeria Kuipa promo Heat yake ya Nana,


 Diamond Platnumz ( @diamondplatnumz ) Atua Nigeria, Msanii wa Nchini Humo K CEE ( @iam_kcee ) ndiye Aliyempokea Katika Uwanja wa Ndege.Wawili Hao Huenda Wakafanya Video ya Kazi Yao Mpya #LoveBoat na pia akiwa Huko Diamond Platnumz ataendelea Kupromote Kazi Yake Mpya #Nana ambaye amemshirikisha Msanii wa Nchini Humo Mr Flavour. Diamond ni miongoni mwa wasanii wanaojituma Sana Afrika Mashariki na ni hivi majuzi tu amekuwa nchini Afrika Kusini Kupromote kazi yake mpya na pia Kufanya Kazi na msanii wa huko DONALD.  By @sameerbryMsanii wa Nchini Humo K CEE ndiye Aliyempokea Katika Uwanja wa Ndege.Wawili Hao Huenda Wakafanya Video ya Kazi Yao Mpya #LoveBoat na pia akiwa Huko Diamond Platnumz ataendelea Kupromote Kazi Yake Mpya #Nana ambaye amemshirikisha Msanii wa Nchini Humo Mr Flavour. Diamond ni miongoni mwa wasanii wanaojituma Sana Afrika Mashariki na ni hivi majuzi tu amekuwa nchini Afrika Kusini Kupromote kazi yake mpya na pia Kufanya Kazi na msanii wa huko DONALD.

No comments: