
Kuwepo kwa ushindani wa kazi kati ya Diamond Platnumz na Ali Kiba ni jambo zuri sana linachochea ufanisi na ubora katika kazi zao ila kuwepo kwa chuki kati ya mashabiki dhidi ya msanii flani si jambo jema na linaushusha muziki wetu.. inashangaza kwamba watu wanahamasishana kutokumpigia kura Diamond za MTV ili kumkomoa na wanasahau kwamba pale hajasimama yeye ila limesimama taifa la tanzania..... Watanzania tubadilike si kila wakati ni kuweka ushabiki bali wakati mwingine tuweke mbele uzalendo.
No comments:
Post a Comment