Hivi klibuni Wema Sepetu aka Madam aliweza kuhojiwa na Zamaradi katika kipindi cha Take One .Aliweza kufunguka na kumpa makavu mwana dada kajala na kusema kuwa hataki na wala hatokuja kuwa nae kalibu tena .
‘’ Niliwai kumtumia Massege na kumwambia kuwa ni Wose Friend kwangu ,kwani yeye ndiye aiye jizizungua . na nilijuta Why nilitoa hile hela kwa kajala . Nime tenda wema nimeenda zangu na hata siku mmoja sitokuja kumambia nataka pesa zangu. Nitajuat hadi siku nitakayo kufa ’. Hiyo nikuuu fupi kutoka kwa wema aliyo yaongea katika Take One
Credit: Teamtz.com
No comments:
Post a Comment