Sikiliza na Download Free Chill na Sky: Jumatatu ya 15/06/2015 na Msanii Mabeste
Leo
nimechili na rapper @mabeste_tanzania ambaye atatueleza safari ya
muziki wake, kuchukuliwa na B'Hits, maisha yake baada ya kuachana na
label hiyo, maisha ya familia na kuuguliwa na mkewe, Lisa Karl
Fickenscher.
Chill na Sky inasikika kupitia Kings FM ya Njombe (Jumatatu 10:45 hadi 11:45 jioni, na marudio Jumapili saa 5:00 asubuhi
Bomba FM Mbeya, Jumanne saa 9:00 Alasiri na Afya Radio 96.8, Mwanza,
Jumatano saa 8:30 mchana kwenye The Beat Lab na kurudiwa Ijumaa saa
5:00 usiku kwenye Weekend Jump off na Jumapili saa 5:00 asubuhi kwenye
Super Sunday.
No comments:
Post a Comment