Sunday, June 14, 2015

Exclusive: Ali Kiba asema Ng'ombe hawezi kutingishwa na mkia wake: List nzima ya washindi wa Tuzo za Kili nimekuwekea hapa>>>Ali kiba awa kinala kwa tuzo 5

 Usiku wa June 13 2015 umekua usiku ambao ulitoa matokeo ya tuzo za KILI ambazo hutolewa nchini Tanzania kila mwaka kwa kuwatunuku Mastaa mbalimbali kwenye muziki wa Tanzania huku Bongo Fleva ikichukua nafasi kubwa.
Mtumbuizaji Bora wa Muziki wa Kiume wa Mwaka- Ali KIBA (Mshindi)

Mtumbuizaji Bora wa Kike wa Mwaka- Vanessa MDEE

Mwimbaji Bora wa Kiume - Ali KIBA (Mshindi)

Mwimbaji Bora wa Kike - Vanessa MDEE

Msanii Bora wa Kiume Taarab- Mzee YUSUPH (Mshindi)

Mwimbaji Bora wa Kike Taarab: Isha MASHAUZI (Mshindi)

Mwimbaji Bora wa Kiume Bendi- Jose MARA (Mshindi)

Wimbo Bora wa Mwaka wa Taarab- Mapenzi Hayana Dhamana (Isha

Wimbo Bora wa Mwaka- 'Mwana' (Ali KIBA- Mshindi)

Wimbo Bora wa Kiswahili Bendi- 'Walewale' (FM Academia)

Wimbo Bora wa R&B- 'Sisikii' (JUX -Mshindi)

Wimbo Bora wa Hip Hop- Kipi Sijasikia (Prof. JAY- Mshindi)

Wimbo Bora wa Reggae/ Dance Hall- Maua SAMA (Mshindi)

Rapa Bora wa Mwaka Bendi- FERGUSON (Mshindi)

Msanii Bora wa Hip Hop- Joh MAKINI (Mshindi)


Wimbo Bora wa Afrika Mashariki- Sauti SOL (Sura Yako)

Mtunzi Bora wa Mwaka Taarab- Mzee Yusuph (Mshindi)

Mtunzi Bora wa Mwaka Bongo Fleva- Ali KIBA (Mshindi)

Mtunzi Bora wa Mwaka (Bendi)- Jose MARA

Msanii Bora Chipukizi Anayeibukia - Barakah Da Prince

Mtunzi Bora wa Mwaka Hip Hop- Joh MAKINI (Mshindi)

Bendi Bora ya Mwaka- FM Academia (Washindi)

Mtayarishaji Bora wa Nyimbo wa Mwaka Bongo Fleva- NAHREEL

Mtayarishaji Bora wa Nyimbo wa Mwaka Taarab- ENRICO

Producer Bora wa Nyimbo wa Mwaka Bendi- AMOROSO

Wimbo Bora Wenye Vionjo vya Asili ya Kitanzania- Mrisho MPOTO

Kikundi Bora cha Mwaka Taarab- Jahazi Modern Taarab (Washindi)

Kikundi Bora cha Mwaka Bongo Fleva- Yamoto Band (Washindi)

No comments: