Thursday, June 18, 2015

Fredrick Bundala Mhalili mkuu wa Bongo5 media ampongeza wema sepetu kwa kubainisha kugombea ubunge viti maarum kutokea Singida

 
Ujumbe wangu leo. Kinachotuponza vijana wengi ni kutojiamini na kutothubutu katika mambo mbalimbali. Hata hao waliopo kwenye nafasi za juu ni binadamu tu kama sisi. Shout outs kwa Wema kwa kuthubutu. Vijana huu ndio muda wetu. Tupeane moyo na wenye uwezo wasiogope kutupa karata zao.
 

No comments: