Akipiga story na mtandao huu dj jona alisema kwenye ishu ya burudani ilikua ni ndoto yake hivyo milango inapozidi kufunguka anachukulia kama ni moja ya ndoto zake pia umaarufua alionao kwa sasa umechangiwa kwa kiasi kikubwa na kampuni ya
Bongo5 kwa kumkutanisha na mastaa wakubwa hapa Tanzania akiwemo muandishi wa idhaa ya kiswahili ya
BBC bwana
Salim Kikeke, Mtangazaji wa Redio
Clouds fm Millard Ayo
hivyo kupelekea macho ya wengi katika tasnia hii ya burudani kumuangalia
Dj jona kwa upana zaidi, Ikumbukwe siku za hivi karibuni mtandao wa
Hassbaby Mapacha ulitaka kumuajili hivyo wakashindwana kibiashara kulingana na matakwa ya mtando ule wa Hassbaby Mapacha kuwa na vigezo vigumu vya uwekaji habari.
http://www.mandaientertainment.com/
No comments:
Post a Comment