GOOD NEWS: Afya Ya Mke wa Mabeste, Lisa yaanza kuimarika
Afya ya mke wa rapper mkali wa Bongo Flava
Mabesste, Lisa Karl Fickenscher imeanza kuimarika kutokana na hivi
karibuni kuwa mbaya. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Mabeste ameamua
kutoa
taarifa za maendeleo ya mke wake: Aje u good? Hey Maendeleo ya
Lisa Lisa Karl Fickenscher OR My Wife kiafya Anaendelea vizuri
Namshukuru saaana MUNGU pili na kushukuru wewe pia thanks saana Weekend
njema.” Pia Mabeste aliweka picha nyingine akitoka shamba na mke wake na
kuandika: Ndio twatoka shamban sahii Mungu endelea kubariki My family.”
Lisa anasumbuliwa na tatizo la moyo.
No comments:
Post a Comment