Monday, June 22, 2015

New 2015 Dj jona Mixing : Enjoy Muziki mzuri uliofanyiwa Mixing nzuriiiii: Download na Kusikiliza online Bureeee

 Time ndefu sana sijawawekea mixing online ususani kwa wale wapenzi wa mixing najua mli miss sana izi mixing, nimeanza na truck ya Diamond Platnumz ft Mr Fleva Nana ndo jina la hii heat then mtililiko ukaendelea kwa kulaza ngoma baada ya ngoma Enjoy.

No comments: