Saturday, June 27, 2015

Passport ya Shetta imepotea, Zawadi Ni Hii Kwa Atakayeipata >>>>>>>

Star wa Bongo Flava SHETTA ambae sasa hivi anatesa na wimbo wake 'Shikorobo‘ ameweka tangazo kwenye vyombo vya habari ikiwemo Magazetini kwamba amepoteza passport yake.Soudy Brown akaona amcheki pia ili kujua hiyo issue ikoje ! Shetta amesema ni kweli hakumbuki aliweka wapi Passport yake, alikuwa na safari ya kwenda Comoro kwenye show ila imebidi asogeze mbele tarehe ya kusafiri. Hii kumbe ni mara ya pili Shetta anapoteza passport yake.. Jamaa amesema ikitokea mtu yoyote kaipata dau ni Milioni moja! Passport ya Shetta ( @shettatz ) imepotea, Zawadi Ni Hii Kwa Atakayeipata >>>>>>> Star wa Bongo Flava SHETTA ambae sasa hivi anatesa na wimbo wake 'Shikorobo‘ ameweka tangazo kwenye vyombo vya habari ikiwemo Magazetini kwamba amepoteza passport yake.Soudy Brown akaona amcheki pia ili kujua hiyo issue ikoje ! Shetta amesema ni kweli hakumbuki aliweka wapi Passport yake, alikuwa na safari ya kwenda Comoro kwenye show ila imebidi asogeze mbele tarehe ya kusafiri.  Hii kumbe ni mara ya pili Shetta anapoteza passport yake.. Jamaa amesema ikitokea mtu yoyote kaipata dau ni Milioni moja!  Credit: @soudybrown  Source: millardayo.com ( @millardayo

No comments: