
Chill na Sky
inasikika kupitia Kings FM ya Njombe (Jumatatu 10:45 hadi 11:45 jioni,
na marudio Jumapili saa 5:00 asubuhi. Bomba FM Mbeya, Jumanne saa 9:00
Alasiri na Afya Radio 96.8, Mwanza, Jumatano saa 8:30 mchana kwenye The
Beat Lab na kurudiwa Ijumaa saa 5:00 usiku kwenye Weekend Jump off na
Jumapili saa 5:00 asubuhi kwenye Super Sunday..
No comments:
Post a Comment