Baraka Da Prince Awaza Kuvuka Border >>>>>>>>
Mwanamuziki
Chipukizi anayeibukia Vizuri Sana kwenye ‘game’ ya Bongo Flava, Baraka
Andrew ukipenda “Baraka Da Prince” ambaye sasa hivi anatesa na Wimbo
wake wa ‘Siachani Nawe,’Akiongea na Djjonamusic Blog
siku chache zilizopita, PRINCE alisema kuwa anataka kuvuka kimataifa.
Aliongozea
kuwa anawashukuru mno mashabiki wake kwa kuweza kumpa support
hadi kufikia hapo alipo. Baraka alisema kwa umuhimu na ubora wake
umeweza kumfanya apate tuzo ya mwanamuziki bora chipukizi anayechipukia
kwenye tuzo za muziki za KILI AWARDS zilizofanyika hivi majuzi . “Tuzo
hiyo, imenifanya nijiamini zaidi kwenye safari yangu ya kimataifa baada
ya mwezi mtukufu kuna ngoma moja itatoka ambayo ni tofauti
kabisa,nimemshirikisha mwanamke hatari itakua ni ‘surprise’ kubwa,”
alisema Msanii huyo ambae ana asili ya humu nchini Kenya tokea pande za
Nyanza na anaweza kuzungumza ki LUO Vizuri sana.
No comments:
Post a Comment