Tuesday, June 30, 2015

TID Akanusha Kutumia Dawa za Kulevya >>>>>>>

 Mwanamuziki nchini Tanzania, Khaleed Mohamed ‘TID amesema hajawahi kutumia madawa mengine ya kulevya ikiwemo cocaine kama ambavyo amekuwa akinyoshewa vidole na baadhi ya vyombo vya habari, akihojiwa amedai kuwa miongoni mwa mambo yanayomkosesha raha na amani ya moyo, ni pamoja na  TID ( @tidmnyama_official ) Akanusha Kutumia Dawa za Kulevya >>>>>>> Mwanamuziki nchini Tanzania, Khaleed Mohamed ‘TID amesema hajawahi kutumia madawa mengine ya kulevya ikiwemo cocaine kama ambavyo amekuwa akinyoshewa vidole na baadhi ya vyombo vya habari, akihojiwa amedai kuwa miongoni mwa mambo yanayomkosesha raha na amani ya moyo, ni pamoja na kuhukumiwa kujihusisha na matumizi ya unga na wengine kwenda mbele kwa kusema hata kushuka kwake kisanii kumechangiwa na ishu hiyo. Amedai kuwa anaumia sana pale mama yake anapohusishwa kwa madai ya kumuonya yeye kwa matumizi ya dawa za kulevya wakati hakuna kitu kama hicho na kudai kuwa anaona kama anaonewa kwa kitu ambacho hakifanyi. Amedai kuwa sababu zilizosababisha kuporomoka katika anga la muziki ni hujuma kutoka kwa baadhi ya wadau wakubwa wa muziki kwa kushindwa kumpa fursa za kimuziki zikiwemo promosheni na mialiko ya shoo kwa kuwa wana vinyongo na fitina dhidi yake.  By @sameerbrykuhukumiwa kujihusisha na matumizi ya unga na wengine kwenda mbele kwa kusema hata kushuka kwake kisanii kumechangiwa na ishu hiyo. Amedai kuwa anaumia sana pale mama yake anapohusishwa kwa madai ya kumuonya yeye kwa matumizi ya dawa za kulevya wakati hakuna kitu kama hicho na kudai kuwa anaona kama anaonewa kwa kitu ambacho hakifanyi. Amedai kuwa sababu zilizosababisha kuporomoka katika anga la muziki ni hujuma kutoka kwa baadhi ya wadau wakubwa wa muziki kwa kushindwa kumpa fursa za kimuziki zikiwemo promosheni na mialiko ya shoo kwa kuwa wana vinyongo na fitina dhidi yake.

No comments: