TOUCHING: Barnaba ‘Apasua jipu’ Baada ya Kukosa Tuzo >>>>>>>
Mwanamuziki nchini Tanzania, Elias Barnabas ‘Barnaba’ amefuguka ya
moyoni baada ya kudhaniwa huenda akapata tuzo ya mtunzi bora wa nyimbo
kwa mwaka huu katika tuzo za Kili Awards.Kupitia mtandao wa kijamii
aliandika “Nawashukuru watu wangu wote na mashabiki Zangu mlionipiga
Kura naamini kila kilichotokea Kimestahiri Kutokana Mimi nampenda mungu
na naamini kuna Kitu kinaitwa Wakati au
muda na napenda Changamoto maana
hii Itafanya Nifanye Vyema mara mbili ya pale ninapofanyaga Yes Of coz
mimi sinaga Team Bali Team yangu ni wale wote wanaopenda Muziki Mzuri”
Amemalizia “Nawapenda wote na nawapa Ongera wenzangu wote mlioshinda
Bila kusahau kipenzi Changu #bestfemaleperformer and #bestfemaleartist @Vanessamdee Kushinda kwako ni wazi inaonesha wazi kazi nzuri Aya Tunaendelea na kazi Ya kuangusha Vyuma Juu Ya Vyuma na mwaka Huu natoa #Album
Ambayo itafanya Yule asiyemwelewa Barnaba ajue na aelewe mwisho
nawakumbusha Umoja ni nguvu utengano…………. Tusijenge Matabaka Nndugu
zangu”.
No comments:
Post a Comment