Sunday, June 21, 2015

Tyga Asema Ngoma Ya “Pleazer´” Haimuhusu” Kylie Jenner

The “Hollywoody Nigaz” rapper Tyga aliachia wimbo ambao una mashahiri machafu siku chache zilizopita, na watu wakachulia kama wimbo huo unamuhusu Kylie Jenner.
 image117-600x600
Kwenye moja Tyga anaongelea kuwa na makosa kwa matendo yake,huku ikiwa Kylie Jenner bado hajatimiza miaka 18 mpaka August.
Lakini mwisho wa siku , mkali Tyga aliweka mambo sawa akasema ngoma hiyo hajaimba kwa ajili ya Kylie Jenner,  kama ni kufanya ngoma kuhusu Kylie Jenner ,tena ingekuwa special sana na classier.

No comments: