Sunday, June 21, 2015

JACK PATRIC AKIRUDI VANESSA ATAKUWA ANA NAFASI KWA JUX ???

Super model ambaye yupo gelezani kwa sasa kutokana na ishu ya kukamatwa na madawa ya kulevyia nchini China Jack Patric . Awali mwana dada huyo aliwai kuwa na mahusiano na mwanamuziki wabongo fleva Juma Jux , but baada ya mwana dada huyo kutupwa garezani kwa mika kumi ,Jux ameamua kunzisha
 jux-na-Jackie
mahusiano na Vanessa Mdee  huku akiwa wana ponda raha day after day ,wali jux alinukuliwa na kitu kimoja cha redio kuwa hatakama mpenzi wake Jack yupo jela ila bado atalilinda penzi lao mapka akaamua kumtungia nyimbo ‘’Nitasubiri’’  je Jux ameamua kumsaliti Jack nakuwa na Vanessa au kaona so kuwa na Jack kisa kapatwa na skendo hiyo??? kwa mfao Jack akitoka jera atakuwa na nanafasi gani kwa jux au

 Jux na Vanessa Mdee
Vanessa atapigwa chini ??? Jack awalii aliwia kuolewa na  mwanume afahamikaye kwa jinala  Fundikila but ndoa yao iliweza kuvunjika kutokana kwa mwana dada huyo kumsaliti mumewe na Jux hadi kupelekea kila mtu kushika time yake .Je kwa hali ya kawaida Jux ameonyesha kutokua mvumilivu nakuvunja ahadi au yupo na Vanessa kwa short time ???.

No comments: