Sunday, June 21, 2015

Ukweli kuhusu Dudu Baya kumkata sikio Mama yake mzazi,amefunguka hapa

Msanii mkongwe wa game ya muziki wa bongo alietamba na hit song kibao kama Kunguru hufugiki,Nakupenda tu pamoja na Nimeondoka wa kuitwa Dudu baya,leo hii ameelezea ukweli kuhusu habari za kumkata sikio Mama yake mzazi.
 
Story zilizo enea ni kwamba siku chace za nyuma ilivuma habari ya kwamba msanii huyu ali gombana na Mama yake mzazi na kufikia hatua ya kumkata sikio.
Sasa msanii huyu leo katik akipindi cha Bongo Fleva Dudu amefunguka kwamba ni uongo story sio za kweli ni mtu tu aliamua kuzusha.
Mbali na habari hiyo pia Dudu baya amethibitishia umma kwamba amerudi tena katika game na mashabiki zake wakae mkao wa kula.

No comments: