WEMA SEPETU: Siwezi Kumsapoti Diamond Platnumz Kwenye Mtv Awards Kwasababu Nitaonekana Ninajipendekeza
Katika Kipindi cha TV cha Wema Sepetu
Kiitwacho In My Shoes Wema Usiku huu wa Leo Amedai kuwa hawezi Kumsapoti
Mwanamuziki Diamond kwenye Tuzo za Mtv Awards kwa vile Kufanya Hivyo
ataonekana anajipendekeza kwa vile Diamond hajawahi kumuomba kufanya
hivyo… Pia amedai kuwa yeye
na Diamond walishayamaliza hivyo hataki
kujihusisha na Diamond kwa njia yoyote ile kama ni kosa alishalifanya
kipindi cha nyuma na hawezi rudia kosa.. Katika hatua nyingine Wema
Sepetu amedai kuwa Kitendo cha yeye kumsapoti Ali Kiba katika tuzo za
Kill Music kilikuja baada ya Ali Kiba yeye Mwenyewe Kumuomba Wema
Kufanya Hivyo na kumtumia picha ambazo alizipost kwenye Account yake ya
Instagram. Credit: DarCitycenter
No comments:
Post a Comment