
kusema kuwa ndoa yake ipo kama ilivyokuwa mwanzo, na kudai kuwa haijavunjika, na kuongeza kuwa hajawahi kuongea kama amezaa nje ya ndoa au ndani ya ndoa lakini mwisho wa siku ndoa ipo palepale. Amesema kuwa hayo ni maisha na vitu vinavyozungumzwa vipo kama vilivyo, lakini familia yake na watu wa karibu wanaelewa nini kinaendelea ndani yake na hadhani kama itakuwa ni sahihi kuongelea kwenye vyombo vya habari na kutaka watu wajue kuwa baba wa mtoto ni Mose. Sambamba na hilo amesema kuwa kuzaa
kwake sio kuwa kumeua sanaa yake na kusema kuwa muda mwingi anautumia katika kulea lakini mashabiki wake wategemee vitu vizuri ingawa kuna kazi ambazo aliziandaa zitatoka wakati analea.
No comments:
Post a Comment