Thursday, July 2, 2015

Ushahidi, Hakuna Beef kati ya Davido na Diamond >>>>>>

 Ushahidi, Hakuna Beef kati ya Davido na Diamond >>>>>> Staa wa Nigeria aliyeripotiwa awali kuwa na tofauti na msanii Diamond Platnumz baada ya kufanya pamoja Remix ya wimbo Number 1 ameonyesha wazi kuwa hakuna beef yeyote kati yao. Mtv wametaja majina ya wasanii watakao fanya show kwenye usiku wa tuzo na Diamond Platnumz kutoka Tanzania na Davido kutoka Nigeria wapo miongoni mwa wasaii waliotajwa. Davido alipost picha yake na Diamond kwa ukurasa wake wa Facebook na Kuandika  Performing Again Like This at #mtvmama2015 !! Too much Blessing  TeamTz.co
 Staa wa Nigeria aliyeripotiwa awali kuwa na tofauti na msanii Diamond Platnumz baada ya kufanya pamoja Remix ya wimbo Number 1 ameonyesha wazi kuwa hakuna beef yeyote kati yao. Mtv wametaja majina ya wasanii watakao fanya show kwenye usiku wa tuzo na Diamond Platnumz kutoka Tanzania na Davido kutoka Nigeria wapo miongoni mwa wasaii waliotajwa. Davido alipost picha yake na Diamond kwa ukurasa wake wa Facebook na Kuandika " Performing Again Like This at #mtvmama2015 !! Too much Blessing"
Credit:TeamTz.com

No comments: