
mbali vya Afrika na nje ni ‘Nana’ pamoja na ‘Nakupenda’ aliyoshirikishwa na Iyanya, ambazo zote zilitoka mwezi mmoja uliopita. Video nyingine itakayoongezeka kwenye rotation ni ya staa wa Nigeria Kcee na Diamond ‘Love Boat’ ambayo itatoka Ijumaa hii. “Love boat video will be out on Friday ft diamondplatnumz, you will love it” ameandika Kcee Instagram. Kama hiyo haitoshi, video mpya ya collabo ya Donald wa Afrika Kusini na Diamond iliyofanyika wiki iliyopita inaweza kutoka siku si nyingi kama alivyosema Donald katika moja ya Interviews alizofanya wiki iliyopita.
No comments:
Post a Comment