2) Line ya Airtel ambayo inatikiwa iwe na bando/kifurushi cha intaneti (bundle).

3) Kama simu yako ni Android utaingia kwenye PlayStore ya simu yako na kuikuta Wynk Music Application, na kama simu yako ni Iphone utaikuta Application hii kwenye Istore, Kisha unaidownload.
4) Baada ya kuishusha/download ndani ya hiyo Application utaandika/search DJ MAFUVU kisha itakuletea Shows zote za DJ MAFUVU.
#Enjoy cc: @airtel_tanzania
No comments:
Post a Comment