Picha: Rapper wa Marekani J cole aja Tanzania kimya kimya
Rapper wa Marekani ambaye yupo chini ya label ya Jay Z ‘Roc Nation’ , J Cole amekuja Tanzania kimya kimya.
J cole ameonekana mapema leo kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro ‘KIA’ J cole akiwa na mmoja wa mashabiki wake mapema leo
Mwezi wa saba Msanii mwingine wa Marekani, John Legend na mpenzi wake Chriss Teigen walikuja Tanzania, zanzibar kimya kimya.
Credit.TeamTz.com
No comments:
Post a Comment