Thursday, September 24, 2015

Taarifa; Atakae kutana na mtu anaemchafua mmiliki wa kampuni hii kupitia mitandao ndugu Dj jona au kampuni hii awasilishe mapema ili sheria ifuate mkondo wake

Ndugu mfuatiliaji wa mtandao huu wa djjonamusic.blogspot.com ukikutana na maneno machafu
 
yanayoichafua kampuni hii au kumchafua mmiliki wa huu mtandao tafadhari wasilisha kupitia Email yetu ya
Djjonamusic@gmail.com zawadi itatolewa kwa mtu atakae tufikishia taarifa hii pia unaweza kutuma kupitia anuani ya TCRA ambayo ni dg@tcra.go.tz akhsante. Celebrity Gossip | Entertainment News | Celebrity ...

No comments: