Mala baada ya kutoa namba ya kuchangia kile ambacho kinaongelewa kupitia kipindi cha morning talk ikiwa ni uataratibu wa show hiyo kuwashilikisha wasikilizaji wake ili kuchangia mada inayozungumziwa na mada iliyowekwa siku ya leo tarehe 30.10.2015 ilikua ikizungumzia ushindi wa Dk.Magufuli kuupata ushindi wa
kiti cha Urais wa Jamhuli ya muungano wa Tanzania ambapo tume ya uchaguzi Nec ilitangaza siku ya jana, Na sherehe za kumkabidhi vyeti vya ushindi inafanyika hii leo huko dar es salaam kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee ,Msikilizaji huyo alionesha hali ya sinto faham kwa watangazaji hao wa Redio Ebony fm
mala baada kuutuma ujumbe wenye maneno makali na machafu yakiwa yamemlenga magufuli, Msikilizaji huyo aliomba ujumbe huo umfikie rais mteuliwa ingawa ujumbe huo haukusomwa Redioni kutokana na kutokuwa na maadili na hata hivyo Neema Msafiri ambaye alikua katika kipindi aliahidi kuufikisha ujumbe huo kwa Dk.magufuli na kumsihi asijali ujumbe utafikishwa na majibu ataludishiwa.
No comments:
Post a Comment