Album mpya ya Kanye west ‘Swish’ inaweza isitoke hivi karibuni
kwasababu kwasasa amejikita kwenye masuala ya Mitindo, Kanye ameachia
documentary fupi isiyo na sauti ya nguo za ‘Yeezy season 2′
![](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_tMpzvUr0HYta5JnE-NwUMxA_sK2uLv62wrbQf9qySFDyDi_oEZChYE0-Zy4CdOPmdWQbiV0dKkWd1dt5Y7C6ndfrA4UQM5UVhlqnVZRs3Y3qIaUl2QUYJruy44cOZwaJBVAiiyrM_DdWIAgKRihcdUhN3gaifeBu7sf5J29JDCgNOkvXQW26f7NA9W00JCqTLUH9ek_Ku7X9iI0VUKxfuk2sABApW4XOrjPXTLR96Nf5FW9spn2o4AOc-lVDqS-HYPFuoUjNsjoTi2ZrQGoQv-b9gB7rX3dd6tidx88CDVMDYVHgDRi_8ruWOMSy8iJzPU6GSQraw-WIOAsHThF3V4Zbe3=s0-d)
Kwenye Documentary hiyo ya nguo za ‘Yeezy season 2′ ambazo zinatoka
rasmi Alhamisi ya wiki hii, inaonesha baadhi ya hatua za utengenezaji
wa nguo hizo lakini hakuna sauti yoyote inayosikika.
No comments:
Post a Comment