Wednesday, October 28, 2015

Nick Cannon asema Chris Brown ni sawa na kujumlisha Michael Jackson na 2pac kwa pamoja

Chris Brown ni moja ya wasanii wenye mafanikio zaidi kwa miaka hii ya Karne ya 21, Mtangazaji wa kipindi cha ‘American’s Got Talent, Nick Cannon anamuona Chris Brown kama Jumla ya Michael Jackson na 2Pac kwa pamoja.
 
“Fikiria ambavyo kila mtu alimshambulia Michael Jackson na 2pac walivyokua hai, Sidhani kama nimeona mtu mwenye vipaji aliyepitia mambo mengi magumu akashinda na akanaendelea kujifunza kama Chris Brown” Ameandika Nick ambaye amedai mara nyingi watu huwa wanasubiri watu wakifa ndio wawape sifa zao.

No comments: