Wednesday, October 28, 2015

Davido aahirisha tena kuachia album mpaka mwakani (2016)

Boss wa HKN, Davido amehairisha kuachia album yake mpya ‘Baddest’ mara nyingi zaidi ya tunavyoweza
 
kumbuka, na sasa Album hiyo haitatoka mwaka huu tena kama ilivyotangazwa awali.


Uongozi wa HKN umesema tarehe mpya ya kutoka Album hiyo itatangazwa hivi karibuni.
Mwanzoni mwa mwaka huu, album ya Davido na Wizkid zilikua album zilizosubiriwa kwa hamu zaidi na mashabiki lakini kwa bahati mbaya zote hazitatoka mwaka huu.

No comments: