Picha: Wema Sepetu ameolewa? Picha alizoweka Instagram zitakuacha na maswali
Mwanadada Wema Seeptu na mpenzi wake, mshiriki wa shindani
la Big brother mwaka 2014 kutokea Namibia, Luis Munana wamewaacha
mashabiki wao bila majibu, Kama wawili hao wamefunga ndoa au La.
Wema aliweka picha hiyo na kuandika ‘Iam a Happy Soul’ na Luis aliweka picha na kuandika “Faheem is happy! Faheem is at Peace “InShaAllah” japo
hakuna mmoja hata kati yao aliyeweka maelezo zaidi hata hivyo kama sio
ndoa basi haiitaji maswali mwengi kujua kuwa ndoa inanukia.
No comments:
Post a Comment