Wednesday, October 28, 2015

Prof. Jay ashinda ubunge jimbo la Mikumi

Mheshimiwa Joseph Haule ameshinda kwa kura 32259 akiwa amemshinda mpinzani wake, Jonas Nkya wa CCM  kwa kura 1834, Jonas amepata kura 30425.
 

No comments: