Wizkid kufanya Show Tanzania kwa mara ya kwanza tarehe 31 mwezi huu
Msanii wa Nigeria, Wizkid anatarajia kutoa burudani kwa mara ya
kwanza kwa mashabiki wake Tanzania tarehe 31 mwezi huu wa kumi kwenye
tamasha la ‘Wizkid in Dar’
Kampuni ya King solomon Entertainment ikishirikiana na East Africa
Radio wametoa taarifa hiyo mapema leo walipokua wakifanya mahojiano na
waandishi wa habari ambapo wamesema kuwa tamasha hilo litafanyika
viwanja vya Leaders club.
No comments:
Post a Comment