Friday, November 27, 2015

Beyonce kuanzisha kampuni yake ya nguo na urembo

Mwanamuziki, Beyonce knowles ameungana na kampuni ya philip green, Topshop kwa ajili ya kuanzisha brand mpya ya nguo na masuala ya mitindo ambayo jina lake bado halijatangazwa.
 
Kampuni hiyo iliyoungana na beyonce, Topshop tayari imetoa tangazo kuhusiana na ujio huo wa kampuni ya nguo na mitindo ya Beyonce, Wamesema
“We are developing our distribution globally for the launch of this exciting new brand in spring 2016.”
Topshop ni kampunii iliyobobea kwenye utengenezaji wa nguo, viatu, make ups na accessories.

No comments: