Hatimaye Diamond amekutana na familia ya mpenzi wake, Zarinah hassan.
Diamond ambaye alikua nchini Uganda kwa ajili ya show ya ‘Born To Win’ amepata nafasi ya kukutana na watoto wengine watatu wa Zari.
Diamond aliweka picha akiwa na Familia ya zari na kuandika “Me and my Stars!…Basi Hapo Vikurubembe roho zinawauuuuuuuuumaaa …….#UTANIPENDA #SIMBA”
No comments:
Post a Comment