Wednesday, December 23, 2015

Video: Trey songz na yeye aikubali Ojuelegba ya Wizkid, Tazama hapa akiicheza

Baada ya Kylie Jenner, Karrueche, Swizz beatz na mke wake Alicia Keys kucheza ‘Ojuelegba’ sasa ni zamu ya Staa wa R&B Trey songz ambaye alikuwa nchini humo mwishoni mwa wiki iliyopita.
trey songz
Mwaka 2015 umekuwa mwaka mzuri zaidi kwa Staa wa muziki wa Nigeria, Wizkid kuendelea kufanya vizuri na kukubalika zaidi kwenye soko la kimataifa ikiwemo Mastaa wa kubwa wa nje kumkubali kupitia ngoma yake ya ‘Ojuelegba’


Alianza Drake ambaye aliomba kufanya Rmx kabisa baada ya kuisikia kwa rapper wa Uingereza Skepta, baadae wakafata mastaa wengine wakubwa, Rmx hiyo ndio iliyomfungulia milango ya kujulikana zaidi kwenye soko la kimataifa.
Hivi karibuni ngoma hiyo ilitajwa kwenye orodha za nyimbo bora zaidi ya mwaka 2015 ya Jarida la FADER la uingereza, ilishika namba 12.

No comments: