Uhusiano wa Rapper Tyga na staa wa Reality show ya ‘Keeping up with The Kardashian’ Kylie Jenner umedaiwa kuvunjika.
Kwa mujibu wa TMZ na E! online Kylie mwenyewe ndio amemuacha Tyga
“They are on a break,” chanzo cha karibu kimeuambia mtandao wa E! online “They were just a week or so ago talking about ‘ever after’ and things got messy this past week. Kylie wants time to just be by her self and do her. Tyga is not giving up as that’s his one and only lady.” kiliongeza chanzo icho kinachaodaiwa kuwa karibu na wawili hao.
Vyanzo vingine vimesema kuwa Kylie amemuacha rapper huyo kutokana na shinikizo kutoka kwa familia yake ya The Kardashians.
Taarifa za kuvubjika kwa uhusiano wa wawili hao ambao walianza uhusiano wake mwaka jana mwezi wa kumi baada ya Tyga kumpiga chini Blac chyna zilianza siku ya birthday ya Tyga [Nov. 19] ambapo Kylie na familia yake ya The Kardashians waliipotezea iikiwa ni pamoja na kutomuwish Happy Birthday hata kwenye mitandao.
No comments:
Post a Comment