Msanii wa Bongo Fleva na Muigizaji, Shilole ameupiga bei mjengo wake ambao alikua anaujenga maeneo ya kimara, Dar es salaam kwa Shilingi Million 35.
“Eneo lile halikuwa nzuri ndiyo maana nimeuza nyumba lilikuwa bondeni hasa wakati wa mvua palikuwa panajaa maji sana,nimepata sehemu nyingine,’’ Shilole aliiambia Clouds Fm.
Shilole ameuza nyumba hiyo kwa shilingi milioni 35 na kwa sasa ameanza kujenga nyumba nyingine maeneo ya Majohe.
No comments:
Post a Comment